Wednesday, November 11, 2009

ARIF ABRI ATAMBA CCM KUSHINDA 2010









kaimu mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bw.Benno Malissa (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi kamanda mpya wa UVCCM Iringa Arif Abri











Hapa tayari kwa ukaguzi wa gwaride maalum










MJUMBE wa mkutano mkuu wa CCM Taifa na kamanda mpya wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UV-CCM) wilaya ya Iringa vijijini Bw.Arif Abri (kulia akisimikwa na makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa Benno Malisas)amesema kuwa uchanguzi wa serikali za mitaa ambao umekiwezesha chama tawala kushinda kwa kishindo mkoani Iringa ni kielelezo kikubwa kwa vyama vya upinzani ndani ya mkoa wa Iringa kutambua kuwa CCM imeshinda uchaguzi mkuu mwaka 2010 kabla ya uchaguzi.soma habari hii ndani ya gazeti la Taifa Tanzania Ijumaa

Nb;Jioni hii nataraji kusafiri kwenda jijini Dar es Salaam ni safari ya ghafla kwangu kuifanya usiku kama huu tuombeana heri

0 comments: