Madaktari wa hospitali teule ya wilaya ya Iringa vijijini (TOSAMAGANGA) wakiwahudumia wananchi 14 kati ya 30 wa kijiji cha Kibebe kata ya Ulanda ambao wamenusurika kifo kwa kufakamia mzoga wa nyama ya ng'ombe aliyekufa
kazi ya kunusuru maisha ikiendelea
Hivi ndivyo jitihada zinavyoendelea kufanywa hospitali ya Tosamaganga
Dar Es Salaam Time
0 comments:
Post a Comment