Saturday, November 7, 2009

SIRI NZITO VIFO VYA WANAFUNZI WAWILI VETA ,JIANDAE KUSOMA GAZETI LA AMANI SIKU YA ALHAMISI ...................











Miili ya wanafunzi wa kike katika chuo cha Veta waliuuwawa kwa kupigwa risasi na mwanaume kwa wivu wa kimapenzi















Hapa ndipo mauwaji ya wanafunzi wawili yalipofanyika


SIRI zito yafichuka juu ya vifo vya wanafunzi wa kike wawili katika chuo cha ufundi stadi (VETA) Iringa waliouwawa kwa kupigwa na risasi na mmoja kujeruhiwa na kijana ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mmoja kati ya wanafunzi hao,kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Evarist Mangalla(pichani) na mashuhuda waeleza ilivyo kuwa.
Ili kupata undani halisi na ukweli juu ya mkasa mzima wa vifo vya wanafunzi hao hakikisha unapata nakala yako ya gazeti la Amani na ya Novemba 12 mwaka na kwa wale walionje ya Tanzania mtandao wa www.matukiodaima.blogspot.com utakuletea mkasa huu Ijumaa pamoja na picha zote huu,pia utapata picha za wanafunzi hao na wauwaji wenyewe

3 comments:

Neema Kyando ,Mwanza said...

Mkubwa Godwin kweli wewe kiboko binafsi nanyosha mikono kuwa hakuna mwandishi anayekuweza kwa uchokonozi ,kama umeweza kupata picha hizi kweli wewe naweza kukuiba Kubenea mdogo

nasubiri kwa hamu kubwa gazeti la uwazi ili kupata uhondo huo

Amina George ,Mbeya said...

unatunyima uhondo kaka Godwin ,hao wenye gazeti wanakulipa ngapi ?mimi nilifikiri ungeanza kuweka katika mtandao wako ili wao wachukue kwako ila hakuna tabu kazi nzuri

Mchukia maavu said...

Huyo mwanaume ni mshenzi tena mjinga sana hawezi kuua watu kwa ajili ya penzi ,kama ni amri yangu hakuna haja ya kesi huyu ni kupigwa fimbo hadi kifo