Clab ya Maisha Dar akiwaka moto leo
Vikosi vya uokoaji vikiwasili eneo la tukio
Kazi ya uokoaji ikiendelea
Jitihada za uokoaji zikiendelea kufanywa katika jengo la Msasani Clab ambalo linaungua kwa moto jioni hii
Hivi ndivyo jengo la Maisha Clab liililopo ostabei jijini Dar linavyoendelea kuteketea kwa moto jioni hii jijini humo,pichani ni vikosi vya uokoaji vikiendelea kuliokoa jengo hilo ,kwa undani wa tukio hili usikose kusoma gazeti la Tanzania daima kesho.
Dar Es Salaam Time
0 comments:
Post a Comment