January 24, 2012

SAFARI NI SAFARI BORA KUFIKA............

NASHUKURU wadau kwa kutaka kujua safari Yangu ya kuelekea D,Salaam imefikia wapi kwa sasa nipo katika basi la Bugget Mover's Co .Ltd naitafuta Morogoro sasa baada ya Jana kukwama njiani maeneo ya Mikumi matarajio yang mchana wa Leo kupata chakula cha mchana jijini D,lasaam tundelee kuombeana heri.

Imetolewa na Francis Godwin mmiliki wa mtandao huu wa www.francisgodwin.bloodspot.com

0 Maoni: