SHEREHE ZA POLISI FAMILIA DAY YAFANA IRINGA USIKU HUU ,RC APONGEZA UTENDAJI KAZI -LIVE
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr.Christina Ishengoma akiwahutubia wageni waalikwa katika sherehe ya siku ya polisi na familia zao iliyofanyika leo pamoja na kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 ,sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa St.Dominic mjini Iringa Afande Mahundi akigonganisha grasi na wageni wa meza kuu Mida ya msosi kwa wote Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi akipata msosi wa ukweli kwa niaba ya wanahabari mkoa wa Iringa Mdau kutoka kampuni ya Sisa Solutinal Iringa akiwajibika Mida ya kucheza muziki na kufurahi pamoja na mgeni rasmi na wadau wote wa Polisi Wazee maarufu mkoani Iringa wakicheza muziki pamoja na mkuu wa mkoa wakati wa ufunguzi wa muziki Wadau wa jeshi la polisi Iringa wakiwajibika kucheza muziki baada ya kunywa na kula Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christina Ishengoma ambaye alikuwa mgeni rasmi katika usiku wa polisi Iringa akipungia mikono waalikwa kama ishara ya kuwaaga Mcheza Show maarufu mjini Iringa Bw.Emma kutoka kampuni ya muziki ya Jambo Lee MC Maarufu wa jeshi la polisi na shughuli nyingine za kijamii Iringa MC Abass Kushoto akiteta jambo la mkuu wa kitengo cha polisi jamii mkoa wa Iringa Afande Bundala Musiba RTO Iringa kulia Kedmund Mnubi akicheza na MC Abas DJ Maarufu mkoa wa Iringa DJ Kwasa (kushoto) akiwa na mtangazaji maarufu wa Radio Ebony FM Alen Philip na mtaalam wa Production ya Radio Ebony Fm Bw.Nemo ambaye pia ni mmoja kati ya wasanii wakali nyanda za juu kusini Wazee mashuhuri mkoani Iringa wakicheza muziki wimbo wa kitambaa Cheupe Afande Musiba akifurahi jambo baada ya kuona baadhi ya wageni wakicheza bila step maalum Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Claus Mwasyeba Kulia akicheza kwa furaha Ni usiku wa kujinywaga Vinywaji na msosi kwa wageni ilikuwa ni kunywa tani yako bili si tatizo Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Claus Mwasyeba akiwa ametunukiwa cheti na mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christina Ishengoma kwa utendaji kazi uliotukuka na askari wengine zaidi ya 10 Wadua wa polisi wakigonganisha grasi na meza kuu Mke wa RTO Iringa mama Mnubi akigonga grasi na mgeni meya Mwamwindi Askari wakionyesha upendo na mgeni rasmi Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Iringa RTO Kedmund Mnubi akitoka kupokea cheti cha utendaji mzuri wa askari wake wa kikosi cha barabarani Askari mchapakazi akipokea cheti Askari wa upelelezi Iringa Teddy Timbuka (kulia) akipokea cheti chake kwa kazi nzuri Sajenti Magreth akipokea cheti kwa kazi nzuri Mrakibu mwandamizi wa polisi mkoa wa Iringa Bw.Mashaballa akipokea cheti Mrakibu msaidizi wa polisi Bw.Mwenda akifurahi na meza kuu Afande Ndauka akipongezwa kwa niaba ya askari wa usalama barabarani wote
0 Maoni:
Post a Comment