
Basi la timu ya Azam FC Kama linavyoonekana pichani hii ni hatua kubwa na uongozi unapaswa kupongezwa pia ni changamoto kwa timu zetu zikiwemo zile za mikoa kuwa na usafiri Kama huu,ombi kwa wadau wa michezo mkoa wa IRINGA kujitokeza kuisaidia timu yetu ya polisi ambayo ipo kambini kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa huku mfukoni ikiwa Haina chochote iwapo umeguswa kuchangia waweze wasiliana na mmiliki wa mtandao huu kwa namba 0754 026299/0712750199
Ama waweze wasiliana na katibu wa Chama cha soka mkoa wa IRINGA Eliud Mvella Wamahanji kwa simu 0715543266 ama msemaji wa timu hiyo Dr.ALLY NGALLA 0718227223 kumbuka wale wote watakao saidia michango yao itawekwa wazi ktk mtandao huu pamoja na kutumiwa Barua ya pongezi na Chama cha soka mkoa wa IRINGA .
Mchanganua sahihi wa mahitaji ya timu ya polisi IRINGA utayasoma KTK mtandao huu ijumaa wiki hii japo kwa sasa ili timu hiyo inayojiandaa Kupanda daraja na mwakani kucheza ligi kuu ya voda com inahitaji zaidi ya TSH.milioni 10 waweze mdau unaombwa kuchangia pesa,maji,chakula n.k ili kuisaidia timu ya polisi IRINGA Kupanda daraja .
Nb.wadau nimemaliza shughuli yangu maalum jijini Dar katika ofisi ya waziri wa Uchukuzi Kwa sasa nimeondoka saa 12.20 stendi ya ubungo jijini Dar kurudi kituo changu cha kazi mkoani IRINGA na basi PHINDU luxury linalofanya safari zake Kati ya Malawi na Tanzania
Tuombeane heri
0 Maoni:
Post a Comment