January 28, 2012

USED COMPUTERS IRINGA NI NGOTI ENTERPRISES PEKEE

NGOTI ENTERPRISES IRINGA
Dealers in; Seles&repairs of quality brand used computers from U.S.A Email ;kavenuke2007@yahoo.com Mob; 0754 535948,0713 406222 , 07830575447 Miyomboni Area uhuru Road Iringa Town
Ndani ya duka la Ngoti Enterprises Iringa waweza kupata Laptop za aina mbali mbali na ukubwa tofauti tofauti kwa bei nafuu zaidi kuliko maduka yote ya mkoa wa Iringa ,pia Komputa za aina mbali mbali zipo


Pia wapo mafundi waliobobea katika utengenezaji wa Komputa na Laptop iwapo una Laptop ama Komputa yako inasumbua fika Ngoti Enterprises wapo mabingwa waliobobea kwa kazi hiyo
Hii ni ofisi ya matengenezo ya Laptop na komputa zilizosumbua wakazi wote wa mjini Iringa na nje ya Iringa wanatengeneza hapa Laptop na Komputa zao wewe wangoja nini ?
Uaminifu katika ufundi na uuzaji ni sifa yetu kubwa
Mteja akijaribu Laptop yake baada ya kutengenezewa kwa dakika chache .

Kumbuka wapo mafundi wengi na wauzaji wengi wa Komputa na Laptop ila wakweli ni wachache usikubali kudanganywa na wababaishaji hao fika NGOTI ENTERPRISES tunatazamani na Famari Stor ama pia wasiliana nasi sasa kwa Email ;kavenuke2007@yahoo.com Mob; 0754 535948,0713 406222 , 07830575447 Miyomboni

0 Maoni: